Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ni baada ya Timu yake kuchapwa na Leicester City
Namtakia safari njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ole vipi?
Shida ya Arsenal sio kocha ni kikosi, quality players wapo wawili au watatuView attachment 1258992View attachment 1258993
Hii ni baada ya Timu yake kuchapwa na Leicester City
Namtakia safari njema
Hata wakimleta Klopp kwa kikosi hiki ataonekana kama Unay tu. Arsenal lazima waspend kwenye usajili hakuna short cutView attachment 1258992View attachment 1258993
Hii ni baada ya Timu yake kuchapwa na Leicester City
Namtakia safari njema
Kinoma!Anazingua
Hivi utakifananisha kikosi cha arsenal na timu ipi nyengine pale EPL ukiacha Liver na City?? acheni ujinga Unai amefeli na watu wakubali tu kuwa amefeli. Hebu weka kikosi cha arsenal na Leicester kwa mchezaji mmoja mmoja halafu uone kipi kikosi Bora??Shida ya Arsenal sio kocha ni kikosi, quality players wapo wawili au watatu
Wengine wanaongea mashudu tu unawaacha et tunakikosi kibovu Auba amechukua kiatu cha mfungaj bora msimu uliopita halafu anaongea utumbo Huyu Unai akwende tuuuHivi utakifananisha kikosi cha arsenal na timu ipi nyengine pale EPL ukiacha Liver na City?? acheni ujinga Unai amefeli na watu wakubali tu kuwa amefeli. Hebu weka kikosi cha arsenal na Leicester kwa mchezaji mmoja mmoja halafu uone kipi kikosi Bora??
Kikosi kinawezaje kua na shida?Shida ya Arsenal sio kocha ni kikosi, quality players wapo wawili au watatu
Hakujua analoongeaKikosi kinawezaje kua na shida?
Msimu uliopita hatukua na wachezaji wa nafasi nyingi na wengine majeruhi ila Arsenal ilifika Final Europa bila kufungwa, na ikapambania top four.
Leo wachezaji wapo, nafasi moja ina watu kuanzia watatu timu inashindwa kudeliver, unalaumu vipi kikosi?
Ebwana naambiwa Emery outHakujua analoongea
Tayari mkuu.Ebwana naambiwa Emery out
Maisha ya kutanga tanga na makocha kama Liver, Chelsea na Man U yanaanza.Tayari mkuu.
There was no going back, the guy lad lost the dressing room and that is normally the last stage when the sack is about to happen
Good ebening
Potelea mbali mkuuMaisha ya kutanga tanga na makocha kama Liver, Chelsea na Man U yanaanza.