Unai Emery hujui kiingereza , kwanini unalazimisha kuongea ?

Unai Emery hujui kiingereza , kwanini unalazimisha kuongea ?

Panda ndege nenda England kamwambie..
Maana sidhan kama atabahatika kuuona uzi wako
 
Wewe unaejua ukute mafanikio yako makubwa ni kukaa maramba mawili na kumiliki simu aina ya tecno.
 
Sisi tunaangalia performance uwanjani, kiingeleza hakitusaidiii na makocha wengi huwa wanajifunza kwa kuunga unga tu hadi wanakuwa vzr
 
Huyu kocha wa Arsenal ananishangaza sana ! hajui kiingereza lakini analazimisha kuongea huku watu wote hatumuelewi !

Amedanganywa na nani ?
Hiyo ni sheria
Kufanya kazi Uingereza lazima uongee lugha ya malkia(kiingereza)
 
Mbona anaeleweka lakini..pia sometimes anamtumia mkalimami..so hoja yako sidhani kama ina mashiko
 
Huyu kocha wa Arsenal ananishangaza sana ! hajui kiingereza lakini analazimisha kuongea huku watu wote hatumuelewi !

Amedanganywa na nani ?
Sasa unataka akiwa anahojiwa na media za uingereza ajibu kikara au kisukuma?!?
 
Wenyewe waingereza wanamuelewa...wewe Mndali unajifanya humuelewi. BTW, hiyo ni strategy yake ya kujifunza!
 
Hiyo ni sheria mkuu, atakijua tu si muda mrefu. Kuwa cocha EPL ki-malkia ni must.

Nakumbuka Pochetino kuna kipindi alikuwa anawazingua kuongea kiingereza, ila baadae kawa master.
 
Back
Top Bottom