Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu kocha wa Arsenal ananishangaza sana ! hajui kiingereza lakini analazimisha kuongea huku watu wote hatumuelewi !
Amedanganywa na nani ?
Amedanganywa na nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani wewe huwa unamuelewa ?Hahaha wewe ni Manchester United na unahofia kushuka daraja hasira unazileta kwa kocha wetu.
Jf iko dunia nzimaPanda ndege nenda England kamwambie..
Maana sidhan kama atabahatika kuuona uzi wako
Hiyo ni sheriaHuyu kocha wa Arsenal ananishangaza sana ! hajui kiingereza lakini analazimisha kuongea huku watu wote hatumuelewi !
Amedanganywa na nani ?
Sasa unataka akiwa anahojiwa na media za uingereza ajibu kikara au kisukuma?!?Huyu kocha wa Arsenal ananishangaza sana ! hajui kiingereza lakini analazimisha kuongea huku watu wote hatumuelewi !
Amedanganywa na nani ?
torreira yupo atamsimuliaYupo humu?ukisikia chuki za bila sababu ndo hizi