Unaiba hela zetu tunawauliza "kwanini wewe mnaiba hela zetu", mnaanza kujitetea

Unaiba hela zetu tunawauliza "kwanini wewe mnaiba hela zetu", mnaanza kujitetea

Mnatuonaga sisi ni mafala sana sio?

Unaiba hela zetu tunawauliza "kwanini wewe mnaiba hela zetu", mnaanza kujitetea "Nyie mmetumwa na UPINZANI, mnataka kuondoa AMANI nchini, hamuwezi"

Okay sawa
Wewe unatumika na mabeberu kutuchafua huu msemo siusikii sana saizi
 
Tanzania watu wengi hawana elimu, wengi bado wapo Kijijini sana yaani mno, wangekuwa wengi wamefunguliwa macho wakaona. Hao watumishi wote kuanzia raisi mpaka askari sisi ndio tumewaajiri tunaweza tukabadilisha na kuweka tunayemtaka.
Mfano askari anatakiwa anilinde Mimi na Mali zangu Kama alivyo.mwalimu anifundishie watt wangu Mana mie nafanya kazi nalipa Kodi. Hii elimu ni wachache waijuao.
Yaani bila sie kulipa Kodi hao jamaa hawana kazi na sio kuwa wanafanya kazi kwa hisani. Hela walizo nazo zinatoka kwa wananchi.
Sasa mie nashangaa eti mtu anambabaikia mwajiri wake Kama raisi, waziri, askari, mwalimu, daktrari hao jamaa sie ndio tunaowalipa.yaani sie ndio mabosi zao na inabidi wafanye kazi kulingana na maelekezo ya kwetu sema Sasa watu bado wanakula sana ugali wanajaza tumbo. Ukiangalia kabila kubwa Tanzania wasukuma ni ntoho tabhu Sasa purukushani na mikimikikiki hawawezi kabisa kulianzisha timbwili
 
Back
Top Bottom