nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
I think its better if you confirm what you are suspecting before making any decision to quit
Lazima mtu ujiridhishe bwana hakuna kuoneana wala kubaki kuhisi! Nikikuta huko clean ndio vizuri. Cha muhimu mkae mkijua unapo spy hupaswi kugunduliwa na unayemspy. Unaweka mambo hadharani tu pale unapopata confirmation kuwa jamaa ni cheater. Kama huna evidence inabaki kuwa siri yako kwani najua hata watu waliotulia hawapendi kupelelezwa.