nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
I think its better if you confirm what you are suspecting before making any decision to quit
kweli kabisa,hii ilikua kwa ajili ya majaribio!
me nilianza kutest kwa rafiki yangu mmoja hivi,...duh ni balaa
then nikawapa watu kama watatu wajaribu pia,wawili walinilaumu tena kwa kuwapa
maana waliumia kila mmoja kwa namna yake!
mmoja yeye hajawahi mnasa girlfriend wake (hajawa na kidumu bado)
Hii ni biashara mkuu,sema kitabu tu ndo kinabana otherwise ninge fungua office!
Hehe,ila ni hatari pia kwa wale watakao achika,unaweza uliwa
Kama hauna imani na mwenzi wako,..
hauamini kama kila simu anayo pokea sio ya vimada au vidumu,...
unaweza kuondoa hofu hiyo,kwa kumfuatilia kisiri siri katika mawasiliano
yake yote!
Akipigiwa simu,na wewe utasikia maneno yote (kwenye simu yako)!
Kila sms atakayo pokea utaipata pia (kwenye simu yako)!
Nitafute,nipe namba yako ya simu,nikupe ujanja huo!
Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!
Warning:
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:
Wewe kama una dawa usiendelee kututisha. We are ready for the risk after all wengine hii si first time ku spy. We know the consequences verry well and we are well prepared for that.
Hapa bongo hata ukianzisha kampuni manual, siyo digital ya kufuatilia mienendo ya watu kwa kweli utakuwa tajiri. Utapata wateja wengi sana hasa wanawake! Yaani nakupa ela wewe kazi yako kufuatilia baba nanii anaendaga wapi akitoka kazini au week end. Alafu unanipa mchoro mzima naenda kufumania. Aaah Wajasiria mali mpo!
am still young to die with stress
am still young to die with stress
Jamani Lady N nitamwambia Boss Speaker akupatie tu stress but hutakufa... mi assistant wake....
hapa bongo hata ukianzisha kampuni manual, siyo digital ya kufuatilia mienendo ya watu kwa kweli utakuwa tajiri. Utapata wateja wengi sana hasa wanawake! Yaani nakupa ela wewe kazi yako kufuatilia baba nanii anaendaga wapi akitoka kazini au week end. Alafu unanipa mchoro mzima naenda kufumania. Aaah wajasiria mali mpo!
Nimecheka peke yangu kama kichaa
Mmh! Ukisikia kufa kabla ya siku zako ndio huku.
Si kuhizi vidumu na vibeseni vinachati kwa mtandao.
Busy na laptop utafikiri anafanya kazi za ofisi kumbe...!!
Mmh! Ukisikia kufa kabla ya siku zako ndio huku.
Si kuhizi vidumu na vibeseni vinachati kwa mtandao.
Busy na laptop utafikiri anafanya kazi za ofisi kumbe...!!
Kama hauna imani na mwenzi wako,..
hauamini kama kila simu anayo pokea sio ya vimada au vidumu,...
unaweza kuondoa hofu hiyo,kwa kumfuatilia kisiri siri katika mawasiliano
yake yote!
Akipigiwa simu,na wewe utasikia maneno yote (kwenye simu yako)!
Kila sms atakayo pokea utaipata pia (kwenye simu yako)!
Nitafute,nipe namba yako ya simu,nikupe ujanja huo!
Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!
Warning:
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:
na wewe unajisikia raha kuvunja mahusiano ya watu? na zile msg zinazokosea njia ,angalia usije ukahukumiwa kwa kubeba dhambi hiyo.