Unaibiwa ya Rayvany ni ujumbe tosha.

Unaibiwa ya Rayvany ni ujumbe tosha.

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,261
Reaction score
17,202
Usije kuyavamia ,yasije yakakutesa hawachelewagi kukimbia,kuna wenzako wanalia.
Walizani mapenzi pesa kwenye suruali vibamia.,Hata ukimuhonga Ferrari hatokuona rijali,wakati chumbani we beki ukifunga moja tu chali.
Atakamatwa na mangangari vijana machachari,hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dari.

...Hiyo ni sehemu tu ya wimbo Huo.
NB:Sina timu.
 
Huyu dogo uandishi


Huyu dogo utunzi wake hyo ni wa kijinga kijinga na hovyo, refer verse zake ktk zilipendwa, Salome remix na sasa wimbo huu, huwezi sikiliza na watu mnaoheshimiana
 
Huyu dogo uandishi


Huyu dogo utunzi wake hyo ni wa kijinga kijinga na hovyo, refer verse zake ktk zilipendwa, Salome remix na sasa wimbo huu, huwezi sikiliza na watu mnaoheshimiana
nyimbo za matusi zimetamalaki..mara madhine,mara wanauza tigo wigowigo..siangalii muziki na shem zangu wa kike
 
Dogo inaoneka anapenda sana issue za kubanjuana,nyimbo zake zote Mistari ni hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom