nyimbo za matusi zimetamalaki..mara madhine,mara wanauza tigo wigowigo..siangalii muziki na shem zangu wa kikeHuyu dogo uandishi
Huyu dogo utunzi wake hyo ni wa kijinga kijinga na hovyo, refer verse zake ktk zilipendwa, Salome remix na sasa wimbo huu, huwezi sikiliza na watu mnaoheshimiana
Wimbo takataka kabisa hauna maana
Ila una kaa-ukweli flani!Wimbo takataka kabisa hauna maana