Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.
Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.
Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.
MUNGU IBARIKI AFRIKA