Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!

Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.

Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.

Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.

Huo ni mfano kwa mradi huu mmoja wa pesa nyingi kiasi, vipi kuhusu hiyo miradi mingine mikubwa??

MUNGU IBARIKI AFRIKA
 
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!

Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.

Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.

Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.

MUNGU IBARIKI AFRIKA
Hivi unajua unachoongea wewe,uwanja bado upo kwenye ukarabati,vipo vybo ambavyo vinasimamia ukarabati huo,kuhusu uwanja kufungiwa ni kitu cha kawaida,hiyo pitch bado ipo kwenye matengenezo,muwe wavumilivu siyo kutoa lawama wakati wala hujui chochote
 
Suala la kuuza umeme, si uliona walivyojitokeza, nyuzi 9850 kwa saa hapa JF, wote wanatetea...wale wanaopaswa kuwa watumishi, wakatoa mawaraka ya kila aina ili waonekane kwaajili ya kujipatia kopo la asali, mpaka wahariri nao ndani kufafanua wasichoelewa.

Sasa bilioni 30 kwa ukarabati ni kakitu kadogo tu kwenye usogezaji wao...kuna hiyo Trilioni 1.19 wanasema imetumika kwenye miradi ya maji...........

Kwa jiji la Dar tu, pengine angalau Wilaya moja ingeshajitosheleza kwa maji, ila sasa maji yapo maeneo yale yale tangu ukoloni, wale wapya wamesambaziwa mabomba ya maji, sio maji! 1.19t imekwenda.
 
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!

Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.

Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.

Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.

MUNGU IBARIKI AFRIKA
Rabaika
 
Back
Top Bottom