Unaifahamu hiyo familia?

my maza in law mtarajiwa ni mganga wa kutumia kitabu kimoja hivi cha dini....niingie?
 
Kimbweka, Mungu yupi huyo unayemsema? Ni huyu huyu aliyemkataza Suleman asioe wanawake wa nje ya Israel? Ni huyu ambaye aliwakataza wana wa Israel wasioe wale watakao wakuta kanani? Ni huyu ambaye Ezra anatubu kwake kwa kuoa wanawake wa kigeni? Ni huyu ambaye Paulo anasema ataomba kwa Roho na kwa akili? Swala la ndoa its a complex thing far and above what we may think and when we invoke God in things are even complicated! This is my point. If you believe in the same God I believe, use your brain to know the family you want to marry. Kneel down seeking his face for direction!
 
kabla ya kuoa au kuolewa ni muhimu kufanyika maombi ya kuvunja roho mbali mbali.hata aliyeko kwenye ndoa hajachelewa anza sasa!
 
my maza in law mtarajiwa ni mganga wa kutumia kitabu kimoja hivi cha dini....niingie?

Ni swala la kuwa makini! Chunguza vyema kwa habari ya huyo mamkwe. Usije ukawa mfano!
 
Good point, ingawa ni vigumu kwa maisha ya sasa hivi ya kukutana mbali na kwenu/kwao!

Ndio maana nashauri uchumba uwe wa muda mrefu kiasi kwamba mnafahamiana kwa kutosha. Haya mambo ya miezi mitatu, sita siyo sawa
 
Its never too late. You still have an option to check in depth nature of your family. There some things you can still change while you are in. Remember the emphasis is to raise a good life and good family!

Mkuu Ronn M I got you very well but when I say its too late I real mean it. There are some behaviours (in families) that you can not change. Unajikuta uko peke yako.
 
Last edited by a moderator:


Pamoja na kukubaliana nawe, zama zimebadilika.Mfano wa kaka yako ni typical kwa watu waliozaliwa na kukulia vijijini.Chukulia kuwa huyo kaka yako angepata mchumba aliyezaliwa na kukulia nje ya mkoa, au nchi mnayoishi.Baba yako angefanya nini? Wakati mwingine ni vigumu kufanya upelelezi.Binti labda kasomea shule za bweni miaka yote.Kijijini hajakaa au hata kwenda ni mara moja moja.Huwezi kumhukumu kwa tabia za "wanafamilia".Tabia pia huchangiwa na mazingira.Chukulia kwa mfano, familia ina tabia ya uchapa kazi na heshima z kupiga magoti. Binti kakulia mbali na familia, hajui hata mila na desturi, hajawahi kushika jembe, hajafundishwa kufanya kazi - anachojua yeye ni kupata kila anachokitaka na ziada. Atarithi tabia za familia?

Dunia imekuwa kijiji.Watu/watoto hufunzwa na dunia zaidi ya wanavyofunzwa na mama siku hizi.
Kupata mwenza atakayekidhi vigezo, viwango, matamanio na matarajio itategemea:
- Mhusika/Mtafutaji yeye mwenyewe ana tabia gani.Kama ana tabia mbaya basi huenda atakutana na mtu mwenye tabia mbaya kam zake
- Mazingira ya kufahamiana na muda utakaochukua kumfahamu mwenzio na kufanya maamuzi
- Kudra ya mwenyezi Mungu!
 
Tausi Mzalendo, mzee alikuwa anaangalia vitu kama Ulozi, Kifafa na magonjwa mengine ya kurithi na pia tabia ya familia kwa ujumla, wizi wizi na udhulumaji.............
 
Last edited by a moderator:

Ninavyofahamu tabia ya mtu haifutiki kwa kubadili mazingira. Inaweza ikafunikwa kwa muda tuu. Halafu kwenye familia huangalii tabia tuu, kuna mambo kama magonjwa nk nk" sasa vyema ukafahamu ili ujipange vyema uendapo huko
 
Ninavyofahamu tabia ya mtu haifutiki kwa kubadili mazingira. Inaweza ikafunikwa kwa muda tuu. Halafu kwenye familia huangalii tabia tuu, kuna mambo kama magonjwa nk nk" sasa vyema ukafahamu ili ujipange vyema uendapo huko

Kweli kabisa..ila mada imejikita kwenye "tabia za familia".Magonjwa nayo ni muhimu kuchunguza hasa yale ya kurithi kama kichaa, n.k.
 
Mimi sista aliolewa na raia wa kenya wanaishi bongo,sista akuwafahamu ndugu wa mmewe kwa undani kumbe alikuwa anamkutanisha na marafiki anazuga kuwa ni wadogo au kaka zake ,akawa anajifanya mambo safi.familia aikupenda sista aolewe na huyu bwana lakni dada alpolazmisha familia ilikubali kuepusha lawama kwa dada.sasa hivi amekuja gundua wazazi wa mme wake ni waganga wa kienyeji uko kwao mombasa na amekuwa akiaribu mimba,mwanaume pesa yake aijulikani inapokwenda dada ndio analipa kodi na kumlea jamaa ukikutana na jamaa kitambi kikubwa.familia ilimpa dada kiwanja jamaa kakiuza kinyemela akanunua gari. Dada/kaka kuweni makini mtakapo kuowa au kuolewa
 

Unaona mambo kama hayo? Ndio maana wazee wetu walipinga ndoa za mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…