Unaifahamu vipi CocaCola?

Hiyo ya mipaka ya kimauzo ndio maana some time bei huwa tofaut kanda na kanda kumbe, mf mwanza ni 500
Mikoa mingine 600
 
Anko magu ana PhD ya chemia, anayeifahamu ID yake amfuate PM aje atushushie formula..!!
 
Ni kweli pia hao wawili wanaojua hiyo siri hawaruhusiwi kusafiri kwenye ndege moja, coca cola ndo bidhaa maarufu zaidi duniani, hawa wengine kama wa huku kwetu hupewa powder tu! na ratios za maji ili kutoa perfect coke!
 
Wakuu ni kweli hiyo kitu inacocain humo ndani. Kuna kipindi siku haipiti bila kukandamiza Coke ya bariiidi. Niliombewa na Wasabato nikaacha.
 
Huu ni uzushi tu.

Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
Hao ni watu wenye Licence ya kuagiza unga wa kutrngenezea coca cola
 
Anko magu ana PhD ya chemia, anayeifahamu ID yake amfuate PM aje atushushie formula..!!

Miaka ya nyuma kama niwahi kuona formula ya CocaCola - sijui kama ina kificho kivile, labda enviroment inayo tumika kutayarisha concentrates ndiyo awataki watu wajue na hicho ni kitu cha muhimu sana, lakini formula itakuwa inajulikana.
 
Mkuu mbona jengo la mbele jeusi sana au ndipo wanapo hifadhi concentrates za CocaCola kwa muda wakishirikiana na Family ya Jimny Cater wa Plains Georgia, who knows wasije wakatuchanganyia na peanut butter kuongeza ladha.

Hilo jengo jeusi wala sio la kampuni ya Coca-Cola.

Lipo karibu tu na makao makuu.
 
That's my The bold,Google yangu mimi.
Naachaje kukupenda sasa?
Am proud of you bae....
Yesssss
[HASHTAG]#TheBoldIsMine[/HASHTAG]
Dah.. Ukiwa mkali unang'oa watoto wakali
 
Huu ni uzushi tu.

Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
Wanapewa unga babu, Wao wanakoroga juice
 
Acheni uongo kwa hiyo hao watu tangu 1888 bado wapo tu? propaganda hizo mengine acheni yapite hakuna cha siri wala nini hapo kila kitu kiko wazi
 
Kwaiyo hao wanajua siku yao ya kufa?
 
Hayo uliyapata wapi BAs nasiri isha vuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…