Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya mipaka ya kimauzo ndio maana some time bei huwa tofaut kanda na kanda kumbe, mf mwanza ni 500Yupo MTU aliyegundua hicho kinywaji,by then alitaka kitumike kutibu ugonjwa wa kifua(kikohozi). Haikutibu but watu waliokunywa walikipenda kinywaji na kukiona ni refreshing. So jamaa akamix tena watu kunywa wakanogewa. Hapo ndio kikaanza kutengenezwa na kunyweka km kiburudisho. Watu wakanunua formula kutoka kwa mgunduzi na kuanza kutengeneza. Ikaja wazo la chupa za kuhifadhia na lebo as in jina LA kinywaji maana kina asili ya colanuts.
Siwezi kuandika yote hapa ila badae dunia nzima ikajua na watu kutaka kuzalisha kinywaji husika. Mpango ukawa ni kununua kibali cha kuzalisha then unazalisha chini ya masharti yao. Hapo ndio linakuja suala la concentrates and chemicals husika za kuzalishia coca.
Africa kipo kiwanda cha kuzalisha hizo concentrates na sio lazma utoe U.S.A. Pia sio kila coca ya Tanzania iko chini ya Mengi. Kuna kiwanda Dar,Mbeya,Moshi na Mwanza. Mengi yupo Moshi tu,Mwanza wamiliki wengine na Dar na mbeya zipo chini ya MTU mmoja mwingine. Yaani hao wahusika wote wanakibali cha kuzalisha,kusambaza na kuuza na wana mipaka ya kimasoko. Yaani Mengi anauza soda zake maeneo/mikoa maalum bila kuingiliana na wengine. Hii ni moja ya masharti na vigezo ambavyo vinafuatwa na kusimamaiwa from coca mwenyewe kuepusha Shari kwenye biashara.
Hao ni watu wenye Licence ya kuagiza unga wa kutrngenezea coca colaHuu ni uzushi tu.
Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
ah we coca cola ni habar nyingneeeeembona Pepsi INA Bonge LA ladha ukilinganisha na coca cola?
Anko magu ana PhD ya chemia, anayeifahamu ID yake amfuate PM aje atushushie formula..!!
Mkuu mbona jengo la mbele jeusi sana au ndipo wanapo hifadhi concentrates za CocaCola kwa muda wakishirikiana na Family ya Jimny Cater wa Plains Georgia, who knows wasije wakatuchanganyia na peanut butter kuongeza ladha.
Dah.. Ukiwa mkali unang'oa watoto wakaliThat's my The bold,Google yangu mimi.
Naachaje kukupenda sasa?
Am proud of you bae....
Yesssss
[HASHTAG]#TheBoldIsMine[/HASHTAG]
KhaswaaaaaDah.. Ukiwa mkali unang'oa watoto wakali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Azam Cola ni Siri ya watu wangapi
Wanapewa unga babu, Wao wanakoroga juiceHuu ni uzushi tu.
Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
Acheni uongo kwa hiyo hao watu tangu 1888 bado wapo tu? propaganda hizo mengine acheni yapite hakuna cha siri wala nini hapo kila kitu kiko waziMkuu hawa wa huku kwetu huwa wanapewa ingredients au simplified recipe na maelezo ya jinsi kuchanganya na kupata soda, ni kama vile ambavyo tulikuwa tukitengeneza "juice cola" majumbani kwetu, unafuata tu maelezo rahisi kwenye label.
hiyo ambayo wanaijua hao watu wawili tu ni product formula. Ni very confidential na ina worth multi billions dollar hivyo siri hiyo haiwezi kutolewa kwa mtu mwengine yeyote kwani ni sawa na kugawa utajiri au kuuza soko lako kwa mtu mwingine.
Na kwa nyongeza tu ni kuwa watu hao hawaruhusiwi hata kupanda ndege moja kwa pamoja ili kuepuka kuwapoteza wote kwa pamoja endapo ikatokea bahati mbaya wakapata ajali.
Nadhani nimesaidia kidogo.
Kwaiyo hao wanajua siku yao ya kufa?Mkuu hawa wa huku kwetu huwa wanapewa ingredients au simplified recipe na maelezo ya jinsi kuchanganya na kupata soda, ni kama vile ambavyo tulikuwa tukitengeneza "juice cola" majumbani kwetu, unafuata tu maelezo rahisi kwenye label.
hiyo ambayo wanaijua hao watu wawili tu ni product formula. Ni very confidential na ina worth multi billions dollar hivyo siri hiyo haiwezi kutolewa kwa mtu mwengine yeyote kwani ni sawa na kugawa utajiri au kuuza soko lako kwa mtu mwingine.
Na kwa nyongeza tu ni kuwa watu hao hawaruhusiwi hata kupanda ndege moja kwa pamoja ili kuepuka kuwapoteza wote kwa pamoja endapo ikatokea bahati mbaya wakapata ajali.
Nadhani nimesaidia kidogo.
Hayo uliyapata wapi BAs nasiri isha vujaKwa taarifa yako tu ni kuwa katika Patent zenye thamani kuliko zote duniani ya coca cola ndio namba moja,
pia ndio inayolindwa kuliko zote, ndio maana hadi leo hiyo ni siri kubwa sana, hao wengine akina pepsi na wenzake wanajaribu kutengeneza lakini hawawezi kutoa kama koka.
hiyo ni siri ya familia, na sio wanafamilia wote wanajua.
akifa baba anamuachia mtoto