Unaijua hii kwa Mwanamke wako? (Chit nikuchit)

Inasikitisha lkn ndio ukweli Kwa 80%
 
Wanawake wengi , wamejikuta wanamiliki wanaume 3.

Unajua kivipi?
Fuatana NAMI nikufafanulie.

Wakwanza:
Kila msichana anakua na mtu wanae pendana, nakuamini wataishi wote na kujenga familia.
Kwa bahati mbaya niwachache sana wanao enda mpaka kukamilisha malengo Yao.

Walio wengi wanajikuta wamepotezana ama Kutokana na masomo au mihangaiko.
Hao Kila mmoja atakua na maisha yake lakini wakikutana hakuna kutongozana.

Wapili: ni huyu alie muowa.chaguo namba mbili, second selection.

Watatu: baada ya kuolewa na hili chaguo lakujilazimisha , hujipatia wa pembeni kama ilivyo tajwa kwenye huu Uzi. Huyu mara nyingi kwa sura na Haina hufanana na yule wa kwanza wa ndoto yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…