Unaijua hii kwa Mwanamke wako? (Chit nikuchit)

Unaijua hii kwa Mwanamke wako? (Chit nikuchit)

Siku hizi kucheat imekuwa jambo la kawaida kabisa.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Leo nipo Hoteli flani ambayo nilikuwa nimefikia Kikazi kama wiki mbili hili, nikawa napiga stori pale reception na Wafanyakaz wa hotel.
Akaja jamaa mmoja anaonekana ni ealy 30's yaani ni chini ya miaka 35. Akachukua room ya Sh. 95 elfu akazama ndani.

Baada ya Muda akaingia Mmama (anawajukuu kabisa maana namfahamu, nilikuwa nakula Binti yake ambaye anawatoto wawili sahizi .)

Basi yule mama aliponiona alishituka kidogo lakini akajikaza, na Kunipa Salam "Mambo, Nobrain " nikamuitikia Kisha akapokelewa na yule jamaa kwa Mabusu Mengi sana wakazama ndani.

Kesho yake me natoka Hotel naingia Mtaani kuzurula na yeye ndo anatolewa kwa Kuagwa na mabusu kiana.

Daaah, nikasema dunia Tutafika kwa Taabu sana Nchi ya Ahadi, maana yule mama tunamuheshimu sana mtaani pamoja na Mume wake.

Mumewe pia nimewahi kumkuta kiwanja Flani hapa mkoani yupo na Dem wa mshikaji wangu, kumbe naye huwa anakula pale[emoji1787]
Inasikitisha lkn ndio ukweli Kwa 80%
 
Wanawake wengi , wamejikuta wanamiliki wanaume 3.

Unajua kivipi?
Fuatana NAMI nikufafanulie.

Wakwanza:
Kila msichana anakua na mtu wanae pendana, nakuamini wataishi wote na kujenga familia.
Kwa bahati mbaya niwachache sana wanao enda mpaka kukamilisha malengo Yao.

Walio wengi wanajikuta wamepotezana ama Kutokana na masomo au mihangaiko.
Hao Kila mmoja atakua na maisha yake lakini wakikutana hakuna kutongozana.

Wapili: ni huyu alie muowa.chaguo namba mbili, second selection.

Watatu: baada ya kuolewa na hili chaguo lakujilazimisha , hujipatia wa pembeni kama ilivyo tajwa kwenye huu Uzi. Huyu mara nyingi kwa sura na Haina hufanana na yule wa kwanza wa ndoto yake.
 
Back
Top Bottom