Unaijua Kan-CHO! wewe!?..

Unaijua Kan-CHO! wewe!?..

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170
Kanchō huu ni mchezo unaopendwa na watoto wa Kijapan, Unachezwa kwa kuunganisha vidole vya mikono yako yote miwili inakua kama bunduki hivi halafu unaenda ingiza kwenye matako ya mhusika halafu unasema Kan-CHO!.

Unachezwa sana Japan, Korea na Taiwan.

Mnaoelekea kuishi ama kusoma nchi za watu jihadharini msije rudishwa na kesi za kupiga watoto wa watu!😀😀

i.think.2-20180204-0021.jpg

maxresdefault-1-1-1024x576.jpg
 
Ma.mae, hapo lazima nirudishwe T.z tu hakuna namna. Juzikati nimedamka asubuhi niwahi zangu feri nikanunue samaki nije zangu kuuza, ndani ya daladala kuna jamaa alipanda maeneo ya mtava, sasa kwa ajili ya mbanano ndani ya daladala[emoji38] [emoji38] jamaa akawa analalamika kuwa kafanyiwa "kan cho"[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] unaambiwa jamaa alilia hadi kutoka machozi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ma.mae, hapo lazima nirudishwe T.z tu hakuna namna. Juzikati nimedamka asubuhi niwahi zangu feri nikanunue samaki nije zangu kuuza, ndani ya daladala kuna jamaa alipanda maeneo ya mtava, sasa kwa ajili ya mbanano ndani ya daladala[emoji38] [emoji38] jamaa akawa analalamika kuwa kafanyiwa "kan cho"
analiaje kizembe huyo angechukua maamuz magumu!!..
 
Mimi mbona kwetu Korea alafu siujui huo mchezo
 
Ma.mae, hapo lazima nirudishwe T.z tu hakuna namna. Juzikati nimedamka asubuhi niwahi zangu feri nikanunue samaki nije zangu kuuza, ndani ya daladala kuna jamaa alipanda maeneo ya mtava, sasa kwa ajili ya mbanano ndani ya daladala[emoji38] [emoji38] jamaa akawa analalamika kuwa kafanyiwa "kan cho"[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] unaambiwa jamaa alilia hadi kutoka machozi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahahah,
 
Mimi mbona kwetu Korea alafu siujui huo mchezo
Sasa upande wenu ule una masihara ya kutiana vidole kule c bunduki ukileta michezo kama hii [emoji23]
 
Ma.mae, hapo lazima nirudishwe T.z tu hakuna namna. Juzikati nimedamka asubuhi niwahi zangu feri nikanunue samaki nije zangu kuuza, ndani ya daladala kuna jamaa alipanda maeneo ya mtava, sasa kwa ajili ya mbanano ndani ya daladala[emoji38] [emoji38] jamaa akawa analalamika kuwa kafanyiwa "kan cho"[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] unaambiwa jamaa alilia hadi kutoka machozi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
hahaaaa KAN.CHO MKUU
 
KAN-CHO WAKUU
HAHAAA ..

HAO WA COREA MANINA KWELI YAANI ...wametengeneza mpka statue ya kuhamasisha huo mchezo wao wakipunga ..yaelekea huko mtu kuliwa 0713 nikama kunywa maji tu
 
Yani hao wajamaa wa upande huo wa ajabu sana michezo yao kuna ile sherehe ya kusherekea Dyudyu wanaifanya kila mwezi wa 4!..Yani ikifika watu wanashika mam@##oo mtaani tu kiroho safi!.
 
aiseeee TAIFA ZIMA LITAKUWA LIMEJAA MAPUNGA HILO
 
ahahaahaha huyo dogo kwny pic kaniacha hoi anavomvizia jamaa ampige KA NCHO[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
aiseeee TAIFA ZIMA LITAKUWA LIMEJAA MAPUNGA HILO
Na kuna mchezo mingine ya Boobs Punch na Groin Touch huo wa kwanza ukikutana na demu unampa kofi la matiti na huo wa pili unashika mzgo wa mwenzio sasa ukutane na kifua cha miss naaa!!... chezo tam sana hiloo!!..
 
Back
Top Bottom