Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
#REPOST Goefrey madafa
RAV 4 MAANA YAKE NINI?
Walitumia maneno haya kiingereza
RAV4" --Recreational Active Vehicle with 4-wheel-drive, Ukichukua herufi hivo za mwanzo utapata RAV 4.
Generation ya 1 hii ya Rav 4 ambayo hutum full time 4wheel,
ILA KUNA KUWEKO NA MKANGANYIKO NINI MAANA YA RAV J AU RAV 4 J??
"J" stands for "joyful"
and the "L" stands for "liberty."
PANAPO 1994 kampuni ya Toyota walianzia gari aina ya Rav4 ila ilikuwa kwenye category collora A110/ kabla ya kuja na mfumo SXA110.
1997/8 KAMPUNI YA TOYOTA IKAAMUA kutengeneza magari kwa mfumo tofauti kabisa ya kwamba, tutengeneze cruiser ndogo
Zenye mfumo mlaini ambapo utumie 4wheel muda wote ambapo mtumiaji atafurahia kuendesha bila kupata shida sehemu za mchanga, tope hata milima,
yaan kutumia 4wheel muda wote uliingia katika ukosoaji mkubwa kuwa gari hizi hutumia mafuta mengi kutokana na injini iliyomo nyingi ni 3s engines ,na ndio ukweli na gari zenye VIDUKU, (yani ukiweka gia utasikia Kiiiiiiiiii).
Hii utokea sana pale giabox ikiinza kuchoka na kutengeneza play ndani ya giabox.
Joyful yenye burudani , Rav 4 hii huwa na avitu vingi ndani ya gari , hata radio inayofungw a ni tofauti, na hata huwa na full time 4wheel, na seat nzuri sana ila
Rav L husimama kama Liberty maana yakr huru, gari huwa nzuri huweza kukuta ina 2wheel drive na huweza kuamua mwenyewe kubonyeza batani ya 4wheel.
Ila kuanzia 2000 Toyota ikazindua generation mpya na mfumo wa Gx na zinginezo.