Hii Ni mila maarufu sana katika kabila la Ukerewe. Mara baada ya mwanamke kufiwa na Mumewe huchukuliwa na jamii kama aliyeingiwa na mikosi na hivyo hustahili hutengwa.
Hivyo ili aweze kuiondoa mikosi hiyo hulazimika kwenda kwa mtaalam ili apate kutakaswa. (Cleansing)
Tendo la kutakaswa hufanyika kwa mwanamke huyo mjane, kushiriki tendo la ndoa huyo mtaalam na kisha ndipo mikosi hiyo humtoka
Watu wanaopinga mila hii wanahoji, utakaso wa aina hii unatibu mikosi gani hasa, Kama sio kuiongeza? Kuna hatari nyingi ikiwa ni pamoja na maambukizo ya maradhi.
Kwa hakika Mila nyingine Ni laana.