Unaijua mila ya kutakasa Wajane Ukerewe?

Unaijua mila ya kutakasa Wajane Ukerewe?

Cha kusikitisha zaidi ni wazazi wa huyo mjane wanavyoshinikiza binti yao aende akatakaswe ili kuondoa mikosi katika familia.
Halafu mtakasaji utakuta hatumii hata condom ni mwendo wa kusambaziana ngwengwe tu.
Yaani utibiwe kwa condom?
Uliona wapi mtu akameza dawa na boxi lake?
 
Back
Top Bottom