MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Nikitaka unitumie nazipataje hizo movie ili niwe naangalia nikiwa nimetulia ?Inahusu mtu na mumewe walikuwa wanafanya biashara ya kuuza nyama za ng'ombe sasa walikuwa kama na mikosi hivii unajua kwa nini nyama zilikuwa azitoki yaani aziuziki zikibaki wakimpa mbwa wao alikuwa ali na azipendi pia sasa siku moja katika pitapita walikuwa wakitembea na gari yao walimgonga binadamu ili kupoteza ushahidi ikabidi waikate nyama ile ya binadamu sasa karibu kulikuwa na mbwa wao nae wakampa sikio la yule binadamu akalipenda akala sasa wakapata wazo la kuuza nyama ya binadamu ndani ya butcher lao
Aloo zilitoka sana waliuza sana basi kazi yao ikawa ni kuua na kusaga nyama ya binadamu na kuuza na watu walikuwa hawajashtukia hiyo nyama kuwa ni ya binadamu wakikuwa wakiisifia kuwa ni tamu sana je baadae itakuwaje fanya kuicheki ili ujue mtu wangu.
Intelligent businessman Dream Queen Depal Mr Q Franky Samuel
View attachment 2785117
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app