MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kumekuwa na utamaduni mkubwa nchini na duniani kuwa mtoto wa kike siku zote ni muathirika wa matukio fulani fulani na mtoto wa kiume yeye ni mtukutu, hii sio sahihi.
Basi nataka kuanzisha kampeni maalum kwa ajili ya kuwaimpower watoto wa kiume nchini na nimeamua kuipa jina la MAPOPO.
Nitakuwa nazunguka shule kadhaa kuwapa semina na mambo kadhaa huku tukitumia wasanii kadhaa wenye mwelekeo wa mfumo dume kama Dudu Baya, Diamond nk.
Nipeni maoni kuhusu hii program yangu mpya.