BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mkuu Barcelona ya "Romario na Hristo Stoiczkow" ilikua mziki mwingine.
Binafsi From 2008-2015 ilikuwa kali,, na sasa inarudi kwenye form ikiongozwa na Mchawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Barcelona ya "Romario na Hristo Stoiczkow" ilikua mziki mwingine.
Messi alikuwa mkeka akiangalia kaka zake wakitoana jasho!
wanamkaba kwa macho,alikutana na lasana diara,na zile beki za inter Milan,hata mechi arsenal anashinda messi alikua anazurura tu uwanjani..mechi arsenal anapgwa 4,arsenala ilikua na majeruhi 7 first eleven..beki silivesterIlipigwa hadi walichanganyikiwa. Messi sio wa sport sport bwana. Atakudhalilisha mpaka basi, hata awe beki wa namna gani atanyooka tu. Awaulize wakina NESTA, ROBERTO CARLOS, CANNAVARO N.K walivyodhalilishwa,,,, KING is marvelous 😀😀😀
Najiuliza Messi na Ronaldo wakistaafu soka litakuwa na ladha gani!
Barca alitolewa na Fainali mwaka huo AC MILAN VS LIVERPOOLnafikiri Chelsea alifungwa 3-1 camp nou,akashinda 4-2 kwake..nafikiri ndiyo mwaka fainali arsenal vs barce
Hayuko sahihi amekosea barca alishinda mechi ya kwanza 2-1 mechi ya pili akafungwa 4-2 total ikawa 5-4,Uko sahihi Mkuu...