Unaikumbuka filamu gani iliyokaribia kukutoa machozi

Unaikumbuka filamu gani iliyokaribia kukutoa machozi

  1. SARAFINA na mauwaji ya Soweto.
  2. Escape From Sobibor wayahudi wakiteswa kwenye Concentration Camps za Hitler kule Germany.
  3. Chennobil mlipuko wa kinu cha Nuclear kule Russia.
  4. War Bus wamarekani na wavietnam vibaraka wa Marekani wakiteswa na Wavietimum a.k.a Vietcongs.
 
Back
Top Bottom