marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Ni swali zuri ila usiku huu watu wanaosha zama kwa zile staili pendwa za popo kanyea mbingu. Vuta subira kijana wa zamani ma file tutapekua asubuhi. Mm niko lindo tuUnakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea?
Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani?
Hili linawahusu wahenga tu usiku huu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] https://t.co/HjrkOc1DE0View attachment 1227121
imeshakuwa zamani.Ni swali zuri ila usiku huu watu wanaosha zama kwa zile staili pendwa za popo kanyea mbingu. Vuta subira kijana wa zamani ma file tutapekua asubuhi. Mm niko lindo tu
Ilikuwa Chelsea Vs reading, mwaka 2006 kama sikose, Petr Czech, aliumia akaingia cudicin naye kaumiaaa!Unakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea?
Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani?
Hili linawahusu wahenga tu usiku huu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] https://t.co/HjrkOc1DE0View attachment 1227121
Aliingia Carlo Cudicini naye aliumia pia.. ilikuwa unforgetable match kwa kweli.. Baada ya hizo games Hilario ndo akawa kipa wa chelseanahisi ilikua 2006 petr cech kipa wa chelsea alipoumia kichwa vibaya mno mpaka tv hazikuweza kuonyesha tukio lile mara ya pili..aliingia kipa mwingine jina nimemsahau nae akaumia....ndo john tery ilibidi avae groves za ukipa....dah ilikua noma sana
Unakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea?
Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani?
Hili linawahusu wahenga tu usiku huu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] https://t.co/HjrkOc1DE0View attachment 1227121
Hahahah umiza ndonga kijana hii ni copy and paste [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]" In a match on 14 October 2006 against Reading, Terry had to take over in goal for Chelsea in the final minutes of the match after goalkeepers Petr Čech and Carlo Cudicini were injured and Chelsea had no substitutes remaining. " Historia ya John G. Terry
Uko sahihi mzee baba14 October 2006 Reading v Chelsea
Peter Cech alipata head injury.
Carlo Cudicin akapata injury pia dakika za mwisho.
Nakumbuka game hii Obi Mikel alipewa red card na ilikuwa game yake ya kwanza kucheza Chelsea, na mchezaji mmoja wa Reading alipata card nyekundu pia
Niliitazama hii game
Hakurokea wa kumtungua huyu kipa hata kwa mita 40 kweli ?Ilikuwa Chelsea Vs reading, mwaka 2006 kama sikose, Petr Czech, aliumia akaingia cudicin naye kaumiaaa!
Asante kwa kutukumbusha hiinahisi ilikua 2006 petr cech kipa wa chelsea alipoumia kichwa vibaya mno mpaka tv hazikuweza kuonyesha tukio lile mara ya pili..aliingia kipa mwingine jina nimemsahau nae akaumia....ndo john tery ilibidi avae groves za ukipa....dah ilikua noma sana