Unaikumbuka hii JohnTerry kuwa mlinda mlango!

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Unakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea?

Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani?

Hili linawahusu wahenga tu usiku huu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] https://t.co/HjrkOc1DE0
IMG_20191009_012802_414.jpeg
 
Unakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea?

Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani?

Hili linawahusu wahenga tu usiku huu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] https://t.co/HjrkOc1DE0View attachment 1227121
Ni swali zuri ila usiku huu watu wanaosha zama kwa zile staili pendwa za popo kanyea mbingu. Vuta subira kijana wa zamani ma file tutapekua asubuhi. Mm niko lindo tu
 
nahisi ilikua 2006 petr cech kipa wa chelsea alipoumia kichwa vibaya mno mpaka tv hazikuweza kuonyesha tukio lile mara ya pili..aliingia kipa mwingine jina nimemsahau nae akaumia....ndo john tery ilibidi avae groves za ukipa....dah ilikua noma sana
 
Unakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea?

Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani?

Hili linawahusu wahenga tu usiku huu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] https://t.co/HjrkOc1DE0View attachment 1227121
Ilikuwa Chelsea Vs reading, mwaka 2006 kama sikose, Petr Czech, aliumia akaingia cudicin naye kaumiaaa!
 
nahisi ilikua 2006 petr cech kipa wa chelsea alipoumia kichwa vibaya mno mpaka tv hazikuweza kuonyesha tukio lile mara ya pili..aliingia kipa mwingine jina nimemsahau nae akaumia....ndo john tery ilibidi avae groves za ukipa....dah ilikua noma sana
Aliingia Carlo Cudicini naye aliumia pia.. ilikuwa unforgetable match kwa kweli.. Baada ya hizo games Hilario ndo akawa kipa wa chelsea
 
14 October 2006 Reading v Chelsea
Peter Cech alipata head injury.
Carlo Cudicin akapata injury pia dakika za mwisho.

Nakumbuka game hii Obi Mikel alipewa red card na ilikuwa game yake ya kwanza kucheza Chelsea, na mchezaji mmoja wa Reading alipata card nyekundu pia

Niliitazama hii game
Unakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea?

Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani?

Hili linawahusu wahenga tu usiku huu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] https://t.co/HjrkOc1DE0View attachment 1227121
 
" In a match on 14 October 2006 against Reading, Terry had to take over in goal for Chelsea in the final minutes of the match after goalkeepers Petr Čech and Carlo Cudicini were injured and Chelsea had no substitutes remaining. " Historia ya John G. Terry
Hahahah umiza ndonga kijana hii ni copy and paste [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
14 October 2006 Reading v Chelsea
Peter Cech alipata head injury.
Carlo Cudicin akapata injury pia dakika za mwisho.

Nakumbuka game hii Obi Mikel alipewa red card na ilikuwa game yake ya kwanza kucheza Chelsea, na mchezaji mmoja wa Reading alipata card nyekundu pia

Niliitazama hii game
Uko sahihi mzee baba
 
Hivi wadau kwa Tukio kama hili Uvaaji wa Jezi namba unakaaje. Means kama JT alikuwa na jezi namba 5 then akaenda kuvaa ya Golikipa iliyopo let say ni jezi namba 26 huuu mkanganyiko huwa unatatuliwa vipi?
 
nahisi ilikua 2006 petr cech kipa wa chelsea alipoumia kichwa vibaya mno mpaka tv hazikuweza kuonyesha tukio lile mara ya pili..aliingia kipa mwingine jina nimemsahau nae akaumia....ndo john tery ilibidi avae groves za ukipa....dah ilikua noma sana
Asante kwa kutukumbusha hii
Kumbe ndio maana peter huwa anavaa lile dude kichwani
 
Back
Top Bottom