yeye mwenyewe jux alihojiwa pale sambaza upendo fm sikuambayo alikuwa anautambulisha wimbo wake nitasubili mkulima wa ndumu akamuuliza hii true story ama niyakusadikika yealichojibu alisema nitrue story mama wa veve akarukia nakumuuliza inamuhusu nani maana tunasikia fununu yawewe kudate na jack akasema inamuhusu huyohuyo jack kwakuwa ndie mmpenzi wake hivi karibuni tena nasikia kahamia kwa mkomao vee money hawa wasanii bwana kweli na mapenzi nayo wamegeuza sanaa hawaogopani