warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Duh wewe jux sio mtu mzuri, ndio nini kutupa presha kipindi kile?, ukajifanya wewe ndo Jackie ukaingia kwenye account ya instagram ya jack na kujifanya jack ukapost utumbo unaoujua wewe, au ndo ulikuwa unaifanyia promo ile nyimbo yako iliyofungiwa? Watu kutwa tunashinda airport tukimsubir jack atue bongo, kumbe holaa, wewe jamaa nimekuvulia kofia aiseeh, umetutia aibu Team Jack, maana tulishaanza kuwachamba waliofurah jack kufungwa, kumbe mwenzio bado yupo lupango ananyea debe.