Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Mtalibani sababu ya mkoti wangu wa jeshi nliorith kwa babu, nkawa nalivaa huko shule basi walimu wakiniona tu wanajua mtot wa serkali npo shule [emoji38][emoji38] enzi hizo watalebani wanasumbua baasi madam mmoja akawa ananiita wewe 'Mtalibani' jbu swali likajeuka ndio a.k.a huko shuleni
 
Waliniita Muarabu wa dubai kipindi hicho ze comedi inavuma sana mpoki alikuwa anajiita muarabu wa dubai na mi ni black ileile wakanichukulia kama mpok
 
Back
Top Bottom