Mtalibani sababu ya mkoti wangu wa jeshi nliorith kwa babu, nkawa nalivaa huko shule basi walimu wakiniona tu wanajua mtot wa serkali npo shule [emoji38][emoji38] enzi hizo watalebani wanasumbua baasi madam mmoja akawa ananiita wewe 'Mtalibani' jbu swali likajeuka ndio a.k.a huko shuleni