Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwa wapenzi wa soka wa zamani tukumbushane majina ya wachezaji wa kikosi hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja kati ya vikosi vya dhahabu kuwahi kutokea UholanziMkuu kabla ya kuona hata picha nilishawaza hiki kikosi, kilikua cha aina yake.
Sio uholanzi pekee, ni katika ulimwengu wa soka mkuu. kilikua kikosi bora kabisa. ila walikosa bahati tu.Moja kati ya vikosi vya dhahabu kuwahi kutokea Uholanzi
Kwa wapenzi wa soka wa zamani tukumbushane majina ya wachezaji wa kikosi hiki
![]()
Ila walifanywa vibaya Euro 2000 kwao Stam akapaisha penati kama anatungua nazi.Kwa wapenzi wa soka wa zamani tukumbushane majina ya wachezaji wa kikosi hiki
![]()
Simuoni Aaron mohamed winter katika kikosi hiki.![]()
Pia hiki kikosi kilikuwa kizuri sana including Marco Van Basten, Ruud Gullit, Ronald Koeman, Danny Blind, Aaron Winter, Frank Rijkaard, Vanenburg, Wouters and Johnny Bosman. Coached by the legendary coach Rinus Michels.
Katika kitu kinaniboa kwenye soka ni majeruhi.. marco van basten aliuacha mpira mapema kisa majeruhi..![]()
Pia hiki kikosi kilikuwa kizuri sana including Marco Van Basten, Ruud Gullit, Ronald Koeman, Danny Blind, Aaron Winter, Frank Rijkaard, Vanenburg, Wouters and Johnny Bosman. Coached by the legendary coach Rinus Michels.
Walikutana na mjomba italy nahisi walikosa bahati tu ila waliupiga mpira mwingi.. uholanzi mara nyingi wanakosa zali.. salipiga mpira mwingi mnoo. Km sikosei walikosa penat mbili ndan ya dakik 90.. golikipa ni toldo yule pale kwa waitaliano..Ila walifanywa vibaya Euro 2000 kwao Stam akapaisha penati kama anatungua nazi.
Walichukua Euro 1988 bila shaka.![]()
Pia hiki kikosi kilikuwa kizuri sana including Marco Van Basten, Ruud Gullit, Ronald Koeman, Danny Blind, Aaron Winter, Frank Rijkaard, Vanenburg, Wouters and Johnny Bosman. Coached by the legendary coach Rinus Michels.
kwa kipaji cha Marco Reus na majeraha yanayomsibu kila kukicha kuna muda mwingine unaweza ukatokwa na machozi! Hana bahati. Ni kama ilivyotokea kwa akina Owen Hargreaves, Martin Laursen, Dean Ashton na wengineo!Katika kitu kinaniboa kwenye soka ni majeruhi.. marco van basten aliuacha mpira mapema kisa majeruhi..
Marco reus tunakosa kuona ubora wake, jack wilshere n.k(japo ni nje ya mada)
ni kweli kiongoziSio uholanzi pekee, ni katika ulimwengu wa soka mkuu. kilikua kikosi bora kabisa. ila walikosa bahati tu.
Wewe ni mtu wa mpira!Kikosi kizuri, Edwin van Der Sar, Patrick Kluivert, Clarence Seedorf, Michael Reiziger, Dennis Bergkamp, Jaap Stam, Edgar Davids, Phillip Cocu, Boudewjin Zenden, Frank De Boer, Giovanni van Bronckhorst. Wengi sasa hivi ni managers and coaches
Na ni kweli Reus angalia na ufundi wake unapoteaKatika kitu kinaniboa kwenye soka ni majeruhi.. marco van basten aliuacha mpira mapema kisa majeruhi..
Marco reus tunakosa kuona ubora wake, jack wilshere n.k(japo ni nje ya mada)