Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Nyakati zimekwenda wapi, Hargreaves wa Bayern alikuwa moto sana!Mzee mwenzangu huyo Owen Hargreaves alikuwa moto nakumbuka game moja kaumia mkongwe Stefan effenberg akaingia waqt mdogo nadhani ilikuwa game na ac Milan duh dogo alipiga mpira mwingi sana.