Unaikumbuka timu hii ya Taifa ya Uholanzi

Alijitahid kidogo lakin alikuwa nae mbali sana.. alikuwa na jicho kama la fabregas ama ozil kwenye goli la mpinzani, skills hatari mguuni, akili mujarab kichwani..
 
Hadi wanabeba ndoo hawa jamaa sikupenda style yao.
Na makocha wengi vichaa wakapenda style yao, na hapo ndipo watu kama akina Jose Mourinho walipoibuka na falsafa zao za kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushtukiza.

Rejea Chelsea ya msimu wa 2004/2005 wanachukua taji la EPL kwa kufungwa magoli 15 tu huku Claude Makelele akiwa injini ya kukaba muda mwingi akicheza katika half yake.
 
Mkuu afadhali umenisaidia jamaa ni mbishi sana!
 
Commentator alisema " Three touches, control, turn and finish. "

Kwa hiyo hiyo three touches pia iliambatana na dennis berkamp vs newcastle???
Kulikuwa na turn ila narudia a turn is not a touch, berkamp alifanya only two touches with a seemingly impossible one turn to send the Newcastle defender down the toilet!
Mi ni The Gooner by the way!! My players nawajua inside out na hata classic goals walizofunga!! Kwenye arsenal niite Muhenga haswa!!

Only two touches from The Maestro himself Dennis Berkamp.
 
Basi mie pia ni mshika bunduki.. tizama vizur hiyo turn yake imeambatana na touch.. hyo touch unayoizungumzia ameipiga katika motion ya kuturn, kama hyo touch asingeifanya katika mjongeo wa turning basi mpira ungekwenda tofaut. Kaa tizama upya.
 
Basi mie pia ni mshika bunduki.. tizama vizur hiyo turn yake imeambatana na touch.. hyo touch unayoizungumzia ameipiga katika motion ya kuturn, kama hyo touch asingeifanya katika mjongeo wa turning basi mpira ungekwenda tofaut. Kaa tizama upya.
Kuna turns ngapi hapo kwa mtazamo wako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…