SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Nawaza tu sakata la Mwakabela ingekuwa ni zile enzi za Shujaa Magufuli na yule RC
.
Mungu ni mwema wakati wote.
Jumaa Mubarak ππ
====
Pia soma: ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
Ila anatishiwa legacy ya marehemuWacha vitisho vya kitoto hivyo, mtu mzima hatishiwi nyau.
πππIla anatishiwa legacy ya marehemu
Imani ile huteteana hata kwenye jambo ovu!!Nawaza tu sakata la Mwakabela ingekuwa ni zile enzi za Shujaa Magufuli na yule RC.
Mungu ni mwema wakati wote.
Jumaa Mubarak ππ
====
Pia soma: ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
Ha ha ha haaaa. Kagoma mwenyeweAlisingiziwa mengi
Tunashukuru Ni Yeye amegoma kupanda Chopa ππ
Acha vitisho vya watoto wa chekechea. Hapo ulipo unakaa kwa shemeji halafu unatishia watu eti 'tukikukamata'Mnaongea as if tukikumata utoe ushahidi huo kama unaweza usema jikute keyboard warrior siku ukiingia 18 utajuta
Shetani pia ana Wafuasi.
Ni Yeye kakimbia πππ₯Shetani pia ana Wafuasi.
Wewe ni Msukuma.Ni Yeye kakimbia πππ₯
Huyu alikuwa shetani katika maumbile ya binadamuShetani pia ana Wafuasi.
Sema shujaa mchinjajiNawaza tu sakata la Mwakabela ingekuwa ni zile enzi za Shujaa Magufuli na yule RC.
Mungu ni mwema wakati wote.
Jumaa Mubarak [emoji3][emoji3]
====
Pia soma: ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
Ajute nini wakati jambo liko waziMnaongea as if tukikumata utoe ushahidi huo kama unaweza usema jikute keyboard warrior siku ukiingia 18 utajuta
Zitto Kabwe has lost moral authority to challenge law enforcement over indecency acts by the alleged cops.Nawaza tu sakata la Mwakabela ingekuwa ni zile enzi za Shujaa Magufuli na yule RC.
Mungu ni mwema wakati wote.
Jumaa Mubarak ππ
====
Pia soma: ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
Naamini kwenye ukoo wenu wote hamjawahi kuzika. Kwasababu wote ni wema na kifo ni karma kwa mabaya tuliyotenda kwa wenginemagufuli alikua na genge la kupoteza watu wanaomkosoa ila karma akapita nae shwaa mapema sana