Unaionaje Gen Z ya Tanzania?

tunasubilili mda ufike mama tumuonyeshe kuwa sisi ndo vijana wa kitanzania... hatutaki umama kwenye maswala mapana ya nchi
 
Nawaza tu sakata la Mwakabela ingekuwa ni zile enzi za Shujaa Magufuli na yule RC.

Mungu ni mwema wakati wote.

Jumaa Mubarak πŸ˜€πŸ˜€

====

Pia soma: ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
Mzee Mgaya mbona unayumba sana? Hivi wakati wa JIWE nani alikuwa ndiyo aliyekuwa anaongoza GENGE LA WASIOJULIKANA?

Si bado yupo huyo kiongozi wa GENEGE LA WASIOJULIKANA? kama yupo bado utekaji utaendelea tu hata kama JIWE hayupo.

Kwani CEO akifa na kampuni inakufa? Si ina management ambayo itaendelea kufanya kazi ndiyo maana MENGI amefariki bado IPP inaendelea kupiga kazi.
 
Mheshimiwa ni mdini haijapata kutokea. Halafu haya mambo bhana kumbe kama watu wanajipigia rasilimali za nchi wapendavyo rais uliyeko madarakani hata kama yatafanyika Madudu gani hutoona watu wanalalamika maana wanahisi wakipiga kelele watu wanaweza kushtuka na kutolewa.

Kwa sasa Samia hata yafanyike madudu ya namna na kiwango gani hakuna atakayesema huh utawala ni wa kidikiteta ila sasa gusa maslahi ya mafisadi haki anani utaona kelele za kila rangi.
 
Gener Z ya Tanzania;

1.Tunaimani na Mo
2. Hakuna kama engenear Heris
3.Aziziz K ni bora kuliko Chama
4.Mwakani Chama letu linachukua ndoo EPL
5. Diamond ana pesa sana.
6. Kiwanja gani kuna Mademu wakari?
7.Mama ni Yanga damu damu hapana ni Simba Damu damu yule.
8.Kampuni gani ya mabasi ina wahudumu wakari?
9.Jana kuna timu moja tu imenichania mkeka nilikuwa niondoke na Milion
10. Mama anatujengea uwanja mpya wa mpira safi sana ajenge na Dodoma.
11.Siasa mchezo mchafu sijihangisji kupiga kura.

Hizi ndio stories za Gener Z ya Tanzania kutwa nzima.
 
Zitto ni mdini haswa
 
Gen Z ni jina la Kimarekani, linalotaja kizazi cha cha Kimarekani, kwa historia ya Marekani, inayotupa watu wenye tabia zilizopo Marekani.

Tanzania hakuna Gen Z.

Tafuteni majina yenu kuwasema watu wa nchi zenu, msiwe gezageza kila kitu mnageza.
 
Anajua waislamu wote watamsikiliza
 
Gen Z wa TZ wanafuatilia mipira ya Manchesta na Liverpool, wengine Simba na Yanga,
 
Jana nlikua nafuatlia malumbano ya hoja, gen Z kutoka vyuo kadhaa mkoani mwanza pia walikuepo

Nlichogundua mfumo wa elimu wa Tanzania haumwandai genZ wa bongo kujielewa
 
Kwani kuna ulazima kuiga Kenya. Yasingetokea Kenya ungeandika huu upuzi??
 
Sina wivu na Mtu aliekufa.


Unajisikiaje ukijua yeye ndiye alikuwa Rais wa Tanzania lakini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuuumbe ni wivu tu
===============

Mwendazake Ali Hassan Mwinyi Amekufa, Membe Amekufa, Lowassa nae Amekufa na anaungua kwa Ufisadi wake....

Na wewe utakufa tu na sidhani kama utawekewa hata uzi mmoja wa Tanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…