Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Maoni yako yamechambua vizuri.
Kuhusu logo mpya kurepresent kampuni za utalii sio utani, tunatarajia kuanza kutoa huduma za Safaris (Utalii) pia. Hivyo tuliona tutengeneze logo itakayobeba taswira zote mbili.
Hatujatengeneza wenyewe, kuna mtaalamu tulimpatia kazi ya kuidesign.
Well hapo sawa, good luck then sema mwambie aanze upya atengeneze logo bora