Maoni yako yamechambua vizuri.
Kuhusu logo mpya kurepresent kampuni za utalii sio utani, tunatarajia kuanza kutoa huduma za Safaris (Utalii) pia. Hivyo tuliona tutengeneze logo itakayobeba taswira zote mbili.
Hatujatengeneza wenyewe, kuna mtaalamu tulimpatia kazi ya kuidesign.