Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uzi ufungwe.Likes attract likes, need to say no more.
Hao CHAWA wanaweza pia kuwa Kunguni au Viroboto.Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni m
Ninawaza kwamba neno Chawa hapa halijatumika katika dhana ya mdudu. Kama vile kusema mchizi wangu ambavyo kwa mazingira ya kawaida yasiyo rasmi linatumika kama mtu wa karibu mnaeivana.so hapa chawa limetumika kama mtu wangu ambaye ananifeed taarifa fulani.lkn pia ananufaika na uchawa huo.win win situationAkina Lucas Mwashambwa hao...!!
Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
Au twaweza sema "ndege wafananao, buruka pamoja".Likes attract likes, need to say no more.
Maana amezungukwa na watu ambao hawana akili timamu kama Lucas MwashambwaChawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?