Unaisaliti Chadema kwa kupewa kishika uchumba cha shilingi za kitanzania laki moja?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.

Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.

Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!

Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!

Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
 
yaani mtu anapata ujasiri wa kuropoka na kuporomosha matusi kwa sababu ya bangi tu? hiyo ni kitu mbaya sana gentleman 🐒
 
Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.

Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.

Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!

Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!

Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
Wanapewa vilaki laki wakati hao wenaowashawishi wamepewa 200m kama kishika uchumba. Ile 12b DJ aliyopewa wakati wa uchaguzi ndiyo inatumika kwenye hii project.
 
Kilio cha Aisha kilinikumbusha kilioccha shrkhe JONGO ALIPOLIA Wakati wa bunge maalum la KATIBA.
ATI SHEKHE JONGO ANALIA NYERERE Wake kusemwa!!!!
Hahaha
 
Uch
Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.

Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.

Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!

Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!

Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
Uchochez huu
 
Wengi watarudi ?
 
Hv n kweli mbowe ndio anahusikaa na hayo yt yanayotokea uko chadema au n uzushi wanamzushia tu🤔

Km anahusika Kwa namna yyt bac atakuwa ni mtu BURE KBS na jinga asiyefaa kuenziwa Kwa chcht Zaid Zaid akifaa maiti yake ichomwe moto tu😭
 
Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.

Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.

Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!

Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!

Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
Bangi mbaya
 
Kupotea kwa mpumbavu ni pale fikira zake zinapoanza kumwambia, yeye ni mkuu kiliko Chama

Chadema ndiyo inayohitajiwa na siyo yenyewe ihitaji mtu
 
Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.

Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.

Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!

Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!

Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
Hivi ni kweli unaamini kila anyeondoka Chadema kapewa hela? Kama ni hivyo, na wewe siku ikifika ukapewa hela bila shaka utahama Chadema!
 
Hari ni ngumu tunatafta mabadriko hata ya siku moja kwenye familia zetu bwana
 
Back
Top Bottom