yaani mtu anapata ujasiri wa kuropoka na kuporomosha matusi kwa sababu ya bangi tu? hiyo ni kitu mbaya sana gentleman 🐒Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.
Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.
Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!
Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!
Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
relax 🐒Matusi yako wapi?
Wanapewa vilaki laki wakati hao wenaowashawishi wamepewa 200m kama kishika uchumba. Ile 12b DJ aliyopewa wakati wa uchaguzi ndiyo inatumika kwenye hii project.Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.
Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.
Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!
Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!
Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
Uchochez huuLeo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.
Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.
Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!
Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!
Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
Wengi watarudi ?Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.
Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.
Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!
Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!
Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
Na mishikakiMrema price yake bia 19
Bangi mbayaLeo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.
Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao mkubwa wa machawa kwenye uongozi. Huu mradi wa hama hama siyo wa bahati mbaya.
Leo rafiki yangu mkaskazini anayetokea Meru Aisha ameangua kilio wakati anaaga kuondoka Chadema. Nimeshangaa sana baada ya kujiridhisha kuwa amepewa shilingi laki moja za kitanzania eti ni kishika uchumba na baadae atapewa mgao uliobaki. Mbaya zaidi fedha hizo zimetoka kwa bwana mmoja jina lake ni Julius Gabriel Mwita. Kwanini kafanya hivyo? Sijui!
Aisha ni miongoni mwa watu wanaoishi ndani ya falsafa ya Chadema. Nilipoona Emma Kimambo amenunuliwa kirahisi siku chache zilizopita nilijua fika kuwa Aisha asingetoboa kubaki licha ya kwamba Chadema ipo ndani ya damu yake. Kwasasa usiniulize kwanini. Ila ni matokeo ya kuendekeza ushosti, uchawa na ushoga over reality!
Ila ndiyo upewe laki moja kweli? Aisee hapana! Aisha umejidhalilisha sana!
WeweNani kavuta bangi?
Hivi ni kweli unaamini kila anyeondoka Chadema kapewa hela? Kama ni hivyo, na wewe siku ikifika ukapewa hela bila shaka utahama Chadema!Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.