mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ahaaa,tehe,,tehe.Mo ni mkweli na kasema kweli.Mo alisema muwe mnamtaja yeye tu atajitoa mteseke
[emoji23][emoji23]Ingekuwa ni hii bongo yetu Simba na tff wangekuwa na kazi kweli kweli
Mkuu ni kwamba hujui hiyo ilitokana na mataifa hayo kukumbwa na janga la corona?Ikiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4 itakayoshiriki mashindanoo hayo bado haijulikani.
Hivyo imezua sintofahamu ya timu zipi zinatashiriki michuano hio
Ni mkweli mno, kasema Miquissone alikuwa mbumbumbu fc kwa mkopo.Ahaaa,tehe,,tehe.Mo ni mkweli na kasema kweli.
kwanini Injinia adanganye kuwa Kisinda kanunuliwa wakati alikua kwa mkopo pale Utopolo!!.
Haya mamlaka caf ndio wanayatoa??CAF wamewaambia kwamba top 4 iliyoko sasa ibaki hivyohivyo ligi inasimama , cameroon ndok wanza wanaingia round 2 watatumia msimamo wa msimu uliopita
Naenda Moroco kuweka kambi wewe bado unazurula tu,ngao ya hisani naanza rasmi kukudhalilsha mwaka huu kwa vipigo.Ni mkweli mno, kasema Miquissone alikuwa mbumbumbu fc kwa mkopo.
Miquissone alikuwa mikia kwa mkopo, mbumbumbu hawapati hata mia ya uhamisho wake.Naenda Moroco kuweka kambi wewe bado unazurula tu,ngao ya hisani naanza rasmi kukudhalilsha mwaka huu kwa vipigo.
Mbona kichwa Cha habari na ulicho andika tofautiIkiwa ya imebakia Masaa kadhaa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufanya usajili wa timu zitakazo shiriki michuano ya Afrika msimu ujao ligi ya Misri Epl bado haijaisha na Wala bingwa na top 4 itakayoshiriki mashindanoo hayo bado haijulikani.
Hivyo imezua sintofahamu ya timu zipi zinatashiriki michuano hio
Ila hao Cameroon wamekumbwa na nnCAF wamewaambia kwamba top 4 iliyoko sasa ibaki hivyohivyo ligi inasimama , cameroon ndok wanza wanaingia round 2 watatumia msimamo wa msimu uliopita
wametoa ultimatum kwa fA ya Egypt na cameroon muda wa majina kupeleka tarhe 15 augustHaya mamlaka caf ndio wanayatoa??
Alitolewa kwa mkopo Ud Songo kutoka South kwa kocha Pitson Mosemane ambae kwa sasa yupo Al Ahly Simba ikamsajili.kama utaki achaa mimi nipo Moroco naongeza makali ya kikosi.Miquissone alikuwa mikia kwa mkopo, mbumbumbu hawapati hata mia ya uhamisho wake.
Alienda Mbumbumbu kwa mkopoAlitolewa kwa mkopo Ud Songo kutoka South kwa kocha Pitson Mosemane ambae kwa sasa yupo Al Ahly Simba ikamsajili.kama utaki achaa mimi nipo Moroco naongeza makali ya kikosi.
Vipi wewe ushapata mbadala wa Kisinda au ndo mnamleta Mesi?
Hahahha wamelalamika. Malalamiko fc hawakosekani.kila nchiDuh!! hatari na nusu.vipi Yanga wa huko awajalalamikia hii issue?
Nigeria wamemaliza juzijuzi na morocco pia ila kuna watu walikuwa wakipiga kelele kuwa Tanzania ndio nchi pekee haijamaliza ligi