Hawa ni wale wachambuzi maandazi ambao ndio wanasikilizwa sana.
Kuna jamaa moja linaitwa Angetile Hosea lilikuwa linalaumu kwa machungu sana TFF kuwa imefanya vile kuibeba Simba.
Ila wakati msiba wa Magu unatokea na ligi kusimama karibia mwezi mzima,hatukuwahi kuwasikia wakiomba TFF iachane na maombolezo yaliyoyangazwa na serikali wapange mechi.
Kifupi hawa watu ni wanafiki na kilichowasaidia wasiwe vigagula ni hiyo elimu kidogo waliyo nayo.Ila typically wana tabia za kishamba sana licha ya wengi kuajiriwa kwenye vyombo vikubwa kama clouds