Hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yeye kwenye serikali hatambuliki kabisa, yaani serikali haijuhi kama kuna jamii kama hiyo tanzania, hiyo ni last class tukianzia kutoka kwa mafisadi first class, yaani huyo mtoto hana manufaa yoyoyte kwenye jamii hawezi kuwa mbunge, wala waziri wala raisi, hawezi kusoma shule nzuri, hawezi kutibiwa pazuri kwa kifupi hana future