Unaishauri vipi serikali kuhusu hizi picha..

Unaishauri vipi serikali kuhusu hizi picha..

i213_Ulevi.jpg


SIFA ZA KIJINGA!

Hii sura ni ya kichaga, wala huulizi!
 
Hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yeye kwenye serikali hatambuliki kabisa, yaani serikali haijuhi kama kuna jamii kama hiyo tanzania, hiyo ni last class tukianzia kutoka kwa mafisadi first class, yaani huyo mtoto hana manufaa yoyoyte kwenye jamii hawezi kuwa mbunge, wala waziri wala raisi, hawezi kusoma shule nzuri, hawezi kutibiwa pazuri kwa kifupi hana future
 
Huu ni upuuzi mtupu mtoto mdogo kama huyo kupewa safari inahusu nini?? Huyo mama anafurahia anadhani ni jambo la maana sana hao ndio wanakuja kuwa aribikiwa maana "SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI". Mimi nikiwa kama mzazi sijapendezwa na hiyo picha kabisa
 
Mimi binafsi nikiwa kama mzazi sijapendezwa na kitendo cha mtoto kubiya safari na mama yake kufurahia kuna vitu mtoto akifanya mzazi unasikia raha sio kubiya mapombe je unamfundisha nini huyo mtoto akiwa mlevi utachukia????
 
Back
Top Bottom