Kuna uchafuzi wa Hewa (Air pollution), Uchafuzi wa maji (water pollution) halafu kuna uchafuzi wa kelel (Noise pollution)
Kukaa sehemu yenye kelele hasa karibu na Bar asu Club inayopiga muziki sauti ya juu, Kanisa la kilokole linalopiga kelele za muziki na maombi, Msikiti unaopiga adhana mara 5 kila siku, Mafundi wanotengeneza majiko kwa ngundo na mabati, n.k. hizi ni kelele ambazo zinaathiri sana watu