HakikaBora vyote kuliko kukaa karibu na vibanda vya walokole
Bora vyote kuliko kukaa karibu na vibanda vya walokole
halafu usiombe wajue kwamba unaudhika na kelele zao,Bora vyote kuliko kukaa karibu na vibanda vya walokole
Mzee kwangu watahama nakwambiahalafu usiombe wajue kwamba unaudhika na kelele zao,
Utaona kila rangi ambayo hujawahi kuiona
Nilikaa sehemu Kuna mama anaamka saa saba usiku sio kusali ni kulia tu hovyo mpaka nilihama.Walokole ni kundi la watu lenye akili ndogo sana
Naam! hadi uwe umepevuka kiakili utaelewa raha ya kukaa nje ya mji, kuna raha yake, amani katika nafsiNiliapa nikipata pesa nitakaa nje ya mji kiwanja sqm 2000+ .