Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna walichoacha hata kiwanja hakuna kwa ili linasikitisha pia kama kuna msanii huko mtaani ni kero wananchi tujue ni jinsi gani tunaweza kuwabadilisha jukwaani
 
Kwao na Fid Q

Alipokulia na alipoanzia maisha yake ya kimuziki.

#straight outta rufiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…