tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
U.S.A babyUsher lives a block away from my house!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U.S.A babyUsher lives a block away from my house!
Kumbe we ni jirani yangu kabisaKwao na Fid Q
Alipokulia na alipoanzia maisha yake ya kimuziki.
#straight outta rufiji
kumbe uyu nae ni msaniiMbowe
kumbe uyu nae ni msanii
Hapa wanaume wa mikoani wanapita mbalii sana hawatii neno
Mtoa mada hakusema kuhusu kuchunguza maisha ya mtu bali aliuliza kukaa karibu na msanii. Wa mikoni kuna mambo yanawapita sana hamjui tuu kwanza mkoni 3G yenyewe ni shida atamjulia wapi msanii?Hatuna muda wa kuchunguza maisha ya watu wanaishije! hayo mambo mmezoea nyie Wanaume wa Dar.
Ulitaka kusema nini hapo maana ni kama umemaanisha kingine na umeongea kingine.Tupo kitaa kimoja na huyu msanini wa bongo movie yuko poa sana hanagatatizo na mtu!View attachment 387216
Aisee kuwa makini mkuu.james delicious mvuto