Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

Kumbe unaishi Chanika?
Huyu jamaa bwana,kafunga ndoa juzi tu na nilienda kwenye harusi yake.
sikai chanika, labda atakuwa na nyumba nyingine huko maana hata huku napokaa nilimuonaga siku 1 ndipo wadau wakaanza kuniambia mambo yake ya ajabu anayofanyaga
 
sikai chanika, labda atakuwa na nyumba nyingine huko maana hata huku napokaa nilimuonaga siku 1 ndipo wadau wakaanza kuniambia mambo yake ya ajabu anayofanyaga
Anaishi Chanika walikojenga na mkewe.
Anyways...tuishie hapa.
 
Mtoa mada hakusema kuhusu kuchunguza maisha ya mtu bali aliuliza kukaa karibu na msanii. Wa mikoni kuna mambo yanawapita sana hamjui tuu kwanza mkoni 3G yenyewe ni shida atamjulia wapi msanii?
Duh qweli kuwa dar ni mzigo. Kukaa jiran na msanii na 3G? Au hata 3G ni msanii?
 
Huyu anaishi kijijini kwetu
 
Attachments

  • images.jpg
    9.4 KB · Views: 39
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…