nyuma ya mtaa wa ungujaKwao na Fid Q
Alipokulia na alipoanzia maisha yake ya kimuziki.
#straight outta rufiji
Ila ni kuanzia tip top huku kwetu bado sio kivile
Kesho tuonane nyuma mitaa hiyoMshana jr ww n jiran yangu me nakaa hapa Mkungun Cuf
Kesho tuonane nyuma mitaa hiyo
Panapo majaaliwa insha Allah tutaonana tupige selfie [emoji328] ili baada ya Ukuta uweze kupost pcha yngu
nasikia ni tajir sanaShishi baby nimegundua mwezi uliopita.
tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna walichoacha hata kiwanja hakuna kwa ili linasikitisha pia kama kuna msanii huko mtaani ni kero wananchi tujue ni jinsi gani tunaweza kuwabadilisha jukwaani
mhh mtaani kwenu ushaur unatoa sana kwa majiran mpaka nao wawe wanashukuru kuwa nipo karbu na mtu fulani kama sisi humu tuna sema tupo karbu sana na mshana jr ingawa kidistance tupo mbaliIla ni kuanzia tip top huku kwetu bado sio kivile
Bandera fuata upepo, kila wanaume wameongea na wewe ukaona usibaki nyuma [emoji14]Mbowe