Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

Mm naishi karibu kabisa na aliyekuwa waziri wa ujenzi miezi kumi na mbili iliyopita
 
Panapo majaaliwa insha Allah tutaonana tupige selfie [emoji328] ili baada ya Ukuta uweze kupost pcha yngu
1472153851035.jpg
inshallah
 
tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna walichoacha hata kiwanja hakuna kwa ili linasikitisha pia kama kuna msanii huko mtaani ni kero wananchi tujue ni jinsi gani tunaweza kuwabadilisha jukwaani
1472154603439.jpg
huyu hapa
 
Mimi nipo mkoani,
Nilikua naishi jirani na Malingo (jamaa furani hivi anaimba nyimbo za kijita) lkn naye alikimbilia huko dar sijui huko dar paliwafanyaje wasanii wetu!!
Hivyo mpaka sasa sina jirani anayejihusisha na sanaa
 
Back
Top Bottom